Leo katika Historia

Leo katika Historia, Januari 14

Leo katika Historia

Leo katika Historia ni kipindi ambacho hukuletea baadhi  ya matukio muhimu yaliotoka katika historia.

Ikiwa leo ni Januari 14 mwaka 2019, kipindi chetu tumekuandalia matukio yafuatayo 

Tarehe kama ya leo mwaka 1898 mtunzi alietambulika kwa jina la Lewis Carroll  alşfariki dunia kutoka na maradhi ya monia. Mtunzi huyo alikuwa na mchango mkubwa katika   mathematic na hata katika   upigaji picha.

 

Leo katika Historia, mama wa baba wa taifa Mustafa Kemal Atatürk  Bi  Zübeyde alifariki dunia mwaka 1923 mkoani İzmir. Kaburi lake lilijengewa mwaka 1940  Karsıyaka mkoani humo humo Izmir.

 

Mwaka  1917 baba  wa Vehbi Koç ambae alikuwa mjasiriamali kama baba yake alivyoaanza na biashara ndogo ndogo  katika duka lake ambalo alikuwa akiuza bidhaa kama sukari, viatu, siagi, mafuta ya zaituni pia nae alifariki mwaka 1996 akiwa miongoni mwa matajiri wakubwa ulimwenguni katika chumba  cha wafanyabiashara wakubwa ulimwenguni mwaka 1987.

 

Mwaka 2005, chombo cha angani  kilichotengenezwa kwa ushirikiano wa NASA na kitengo cha masuala ya anga cha Ulaya  Huygens  kilitutua  katika satalati ya TiTAN Saturn. Titan iligunduliwa na  mwanaastronomia  wa Uholanzi   Christiaan Huygens mwaka 1665.

 

Jnauari 14 mwaka 1992  Uturuki na Azerbaijan zilianza ushirikiano wa kidiplomasia. Novemba mwaka 1991, Uturuki ilikuwa taifa la kwanza kutambua taifa huru la Azerbaijan. Tnagu mwaka huo Uturuki a Azerbaijan yamekuwa mataifa yenye ushirikiano.Habari Zinazohusiana