Leo katika Historia

Leo katika Historia, Januari 29

Leo katika Historia

 

Januari 29 mwaka 1978, Uswidi  ilipiga marufuku « spray » kutokana na  athari zake katika anga.  Kulingana na ıutafiti wa wanasayansi ”spray” inaatdhiri tabaka ya ”Ozone” anayolinda mazingira.

Januari 29 mwaka  1886, mhandisi na fundi mekanika wa Ujerumani kwa jina la Karl Benz aliwakilisha kazi yake ya kwanza bada ya kutengeneza injin ya Motorwagen.  Gari lake la maurudumu  matatu  lilikuwa na injini  nyuma chini ya kiti cha abiria.

Januari 29 mwaka 1916, Ujerumani ilitumia kwa mara yake ya kwanza ”Zeppelins” iliojşundia yenyewe  kwa kushambulia jiji la Paris katika vşta vya kwanza vya  dunia.  Sfari ya kwanza za Zeppelins  ilifaulu na  ilikuwa ikitumiwa kwa ajili  ya matangazo. Kwa mara yake ya kwanza ilitumiwa mwaka 1852 na injinia wa Ufaransa Henri Giffard.  Ji ala ”Zeppelin”  lilikabidhiwqa  shirika la kutengeneza vifaa vya anga kwa niaba ya Ferdinad Von Zeppelin.

Januari 29 mwaka 1934,  utaarishaji wa filamu ya kwanza   kutoka Uturuki ilioshiriki katika mashindano ya  kimataifa  ulimalizika. Filamu hiyo iliopewa jina la ”Leblebici Horhor Ağa » Filamu hiyo iltaarishwa na  Mhsin Ertuğrul,  uanzilishi wa  maigizo ya  ktamaduni ya Uturuki Magharibi. Filamu hiyo iliandikwa na  mshairi maarufu Nazim Hıkmet ambae alikuwa akitabulika kwa jina la Mumtaz Osman. Filamu hiyo ilipata tuzo ya  Venisia.Habari Zinazohusiana